0
Chanzo cha kuaminika kimeongea na 2jiachie kuwa Wema Sepetu yupo jijini Arusha alipelekwa na wenyeji  wake muda mfupi na kufikishwa lodge moja (Jina kapuni).


                                               Lodge iliyokataliwa na Wema Sepetu
Cha kushangaza Wema sepetu aligomea kushuka katika Noah na kuwambia wampigie picha kwanza za lodge hiyo,Wenyeji wake walikubali na kushuka kupiga picha baada ya kumletea na kuziona aligoma na kusema anataka hotel kwa kuwa hapo hapana viwango vyake.Lodge iliyokataliwa ipo maeneo ya sakina Arusha mjini.
Mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio wema alipelekwa Silver Palm Hotel na kakubali kufikia hapo.Silver Palm Hotel ipo Makao Mapya Arusha.


                                                           Silver Palm Hotel

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Top