MATEMBEZI YA KUJENGA UKAKAMAVU SEASON 3
Kipindi cha "MIKASA YA MAISHA CHA RADIO 5 ARUSHA" kinakuletea WALKING SAFARI SEASON 3, matembezi ya kujenga ukakamavu wakitembea na wanamikasa na Marafiki wa Mikasa pia wanaofnyiwa USAJILI wa kuingia katika FILAMU ya "MWAMBIE YESU" Kama unapenda kushiriki matembezi haya na kukutana na familia ya wanamikasa waweza wasiliana kwa namba 0765811160 au 0755811160. WALKING SAFARI SEASON 3 itafanyika mwezi Ujao. Endelea kuwa nasi...
Post a Comment