Moja ya kituo cha luninga kikiwa kimeandika kuwa Rais wa Mareni Barack Obama ni Rais wa Tanzania, kosa hilo lilifanyika wakati Obama
akiongea na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam baada ya
kuwasili nchini kitokea Afrika ya Kussini katika ziara ya nchi tatu za
afrika ikiwemo Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania ambapo leo amejerea
nchini Marekani.
Post a Comment