Home
»
Habari
» KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI MHE ALEXANDRE LEVEQUE LEO
 |
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) katika mazungumzo na Balozi
wa Canada nchini Tanzania Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini
kwake Ikulu
jijini
Dar es salaam leo asubuhi. Balozi Leveque aliongozana na Mkurugenzi
Mwandamizi na Mkuu wa Ushirikiano wa Canadian International Development
Agency (CIDA), Bi Patricia McCullagh. Wa pili kushoto ni
Balozi
Dorah Msechu, Mkurugenzi katika Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa anayeshughulikia kurugenzi ya Nchi za Ulaya na Amerika,
akifuatiwa na
ofisa dawati Bi Upendo Mwasha.
|
Post a Comment