CHANZO: ITV DAIMA
Breaking News:Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,Yatoa hukumu dhidi ya Shekhe Ponda Issa Ponda,
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es
Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na
Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa
wengine wote 49 wakiachiwa huru

Post a Comment