Home
»
Habari
» JAJI JOSEPH WARIOBA NA MIKUTANO YA UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA MPYA KISIWANI PEMBA
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (aliyesimama)
akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa
wa Kaskazini Unguja wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13
Oktoba, 2012 na Tume hiyo kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba
kijijini hapo. Wengine pichani (kutoka kulia) ni Wajumbe wa Tume hiyo,
Joseph Butiku (kulia), Profesa Paramagamba Kabudi, Katibu wa Tume, Assaa
Rashid na Naibu Katibu Casmir Kyuki.
Wananchi
wa Kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Zanzibar wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13.
Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo wenye malengo
ya kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Bw.
Said Haji Makame (21), mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A
Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya
wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bw.
Yusuph Juma (60) mkazi wa Kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa
wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya
wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bi.
Tatu Maalim Mganga (65) mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini
A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba
Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bi.
Riziki Khamis Shukuru (20) mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya
Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu
Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na
Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Post a Comment