Hapa wanajeshi na magari yao walizuiliwa maeneo ya Tabata Dampo
Hapa Wakitafuta Mwafaka baada ya Wanajeshi Kumchapa askari wa usalama
barabarani katika Mataa ya Ubungo na Walipofika Tabata Dampo wakazuiliwa
Baadhi ya wanajeshi wakiwa Kwenye lori lao
Wakasababisha Foleni
Haya Ndio Malori ya Wanajeshi yaliyokuwa kwenye tukio
Hapa Wakitafakari Cha Kuwafanya Wanajeshi Hao
Post a Comment