0
mike tee
Msanii Mike Tee anaumaliza mwaka vibaya baada ya leo kuvamiwa na watu wenye silaha na kumpora mali zake zenye thamani kibao, Mike Tee ameandika kwenye account yake ya Facebook maneno yafuatayo:
“Leo hii asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano wenye mapanga wakiwa na gari aina RAV4 ya silver no. T280AZQ wamechukua laptop yangu MacPro, External HDD 4, Headphones za Sony na Modem .

Nnachoshukuru nimepona ila nnachoomba atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa number +255754310202 / na ntampatia cash 300,000 then ntadeal nao mwenyewe”
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Top