0

Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu baada ya kesi kuahirishwa.KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.




Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli. Kesi hiyo imetajwa chini ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa

Makongoro Joseph (kulia) akisalimiana na mmoja wa wapambe wake.

Watuhumiwa pamoja na wapambe wao wakitoka mahakamani.

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Top