0
Kwa sasa tuna miss Tanzania mpya aitwaye Sitti Mtemvu ambaye kwa maelezo yake anasema ana miaka 23 huku ushahidi mwingine ukionyesha kua ana zaidi ya miaka 23. Baada ya kuchaguliwa tu watu wengi walianza kulalamika kua Sitti alipewa ushindi huo kwa kupendelewa jambo ambalo hata mimi naona ni la kweli.
Unaweza Soma : UZUNGU UNAANZA KUWAHARIBU WASANII WETU WA BONGO!! TAZAMA SELFIE ALIZOPOST” AUNT EZEKIEL” HUKO INSTAGRAM. NISHEDAAAA!!
Jana mwandaaji wa mashindano hayo Lundenga aliitsha mkutano na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi ya kua mshindi huyo hana miaka 18 kama watu wanavyosema na kuweka vithibitisho ya kua Sitti ana miaka 23 kama cheti chake kinavyosema.  Uongo ambao nauona hapa tumedanganywa ni kuhusu hicho cheti ambacho mimi nakiona ni feki ni kua kilitengenezwa mda mfupi kabla ya kuanza mashindano huku cheti cha kwanza ambacho ndicho kilichotumika kutengeneza hadi Passport yake inayoonyesha kua kazaliwa mwaka 1989 kikiwa kimepotea.

Unaweza Soma : INASTAAJABISHA MCHEKI JAMAA HUYU ALIYEBADILI JINSIA NA KUA NA SHEPU YA KIKE, TENA DEM MKALIII
Na alipoulizwa kilivyopotea ulienda kutoa taarifa kituo gani cha polisi aligoma kutaja. Kwa nini agome na wakati ilikua rahisi tu kutaja jina la kituo cha polisi kama kweli alienda kutoa taarifa?? ni maswali mengi aliulizwa lakini akagoma hii ni dalili kua miss Tanzania wetu ni magumashi matupu. Haiwezekani mtu tunayemwamini akaiwakilishe Tanzania katika mashindano ya dunia ashindwe kujibu maswali muhimu kabisa kuhusu umri wake.
Unaweza Soma : KAMA WE NI MPENZI WA PICHA ZA VICHEKESHO, CHEKI PICHA HIZI 10
Hii ni aibu kubwa kwa Lundenga na nahisi atakua amejifunza kitu na hatarudia kupitisha mamiss kimagumashi hivi, na naamini hata yeye roho inamuuma kwa alichokifanya.
Unaweza tazama video ya mahojiano hayo hapa chini :


Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Top