0
 Shabiki wa filamu kubwa duniani Fast and Furious atakuwa sio mgeni wa kazi za star Paul Walker. Huyu ni kijana aliyepata umaarufu mkubwa kupitia kazi zake za uigizaje kwenye filamu za Fast and Furious na nyingine.

Story ya kifo chake imechukua nafasi kubwa kwenye mitandao leo na zinasema kuwa star huyu alikuwa anatoka kwenye shughuli ya kuchangi  watu kupitia  organisation yake ya Reach out World Wide.


Paul Walker alikuwa na mwenzake ambaye ndio aliyekuwa dereva wa gari la kifahari aina ya Porsche Carrera GT na wakiwa njiani kurudi nyumbani ndio dereva akapoteza control ya gari na kugonga nguzo ya taa uliokuwa pembeni mwa barabara.




Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Top